komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Huyo ni duka linalojitembeza, kuitwa mke ni matumizi mabaya ya lughaSijabaki nae japo nikitaka napewa nae jamaa anapewa just emagine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni duka linalojitembeza, kuitwa mke ni matumizi mabaya ya lughaSijabaki nae japo nikitaka napewa nae jamaa anapewa just emagine
Kwani hajafanikiwa kupima hadi leo?Pima DNA mwamba
Sio lazima kitanda! Kama walifanyia kichakani?Kitanda hakizai haramu.
hahahaha kwamba nae inawezekana alizaa na jamaa wawiliHuyo mtoto wa kwanza umejuaje alizaa na jamaa mmoja?
Sijaona akisema hilo kwenye maelezo yakeKwani hajafanikiwa kupima hadi leo?
Hatari sana...
Vipi kuhusu Sir Nature kwenye kisa demu?Pindi wanaume wawili mnapogundua mna mahusiano na mwanamke mmoja yule atakaebaki na huyo mwanamke ndo mwanaume dhaifu zaidi
Baba ni mmoja tu lo hakunaga baba wawiliHatari sana...
Siku hizi kuna mtoto ana baba hadi sita, usicheze na kiumbe mwanamke, ndiyo maana Rita wanataka jina la baba halisi tu,na kama humjuwi itaandikwa kwenye cheti cha kuzaliwa Baba hajulikani kwa sasa mpaka hapa atakapojitokeza!!Hakuna mtoto mwenye baba wawili mzee...stuka