Mtoto wangu ana baba wawili

Hapo wote sio mtoto wenu tulizeni mishono
 
Hii sitanii ni zaidi ya serious
Siku hizi DNA usitegemee. Siku hizi wanawake wanakuwa wa kwanza kusema kama huamini tufanye DNA. Sijui maana mara baada ya kukataa na hivyo kutowekewa zigo la kulea toto la mtu mwingine huwa wanakosa nguvu. Hivyo atapewa baba mlegevu atakayelea. Sasa uchague.
 
Mkuu lete 300k then nitakuchukua sample wewe na mwanao then nitakupa majibu kama ni wako au sio wako lakin sitakupa evidence yoyote majibu nitakupa kwa mdomo tu kama upo tayari
Duh, kweli mkuu
 
Huenda kuna baba wengine.
 
Mkuu una uhakika gani kwamba mtoto ni wenu kati ya nyie wawili?
 
Huyo ni mtoto wako. Wewe mhudumie kikamilifu hata kama DNA itasema vingine. Baba ni yule aliyemlea na sio aliyetoa mbegu. Huyu mtoto atakupenda sana na anaweza akawa ndio mfariji wako wakati wa uzee wako. Kitanda hakizai haramu hata siku moja.

Amandla...
 
Mwenzako aliongelea DNA, wewe unasubiri nini?
 
Pole sana mpambanaji mwenzetu, Ushauri wangu kwako ni km ifuatavyo, Ili uwe huru huna budi kupima DNA japo ni gharama, Lakini amani ya moyo ni zaidi ya pesa.
 


Fala wewe, hayo mambo ya mtoto kwa nini ulimwambia Jamaa? Ubinafsi tu
 
Sasa mama unapima wa nini na mtoto katoka tumboni mwake[emoji23]
Labda mama nae alibadilishiwa kimakosa hospital baada ya kujifungua ,mistake zipo pia, kwa hiyo ni muhimu Mama apime pia ili kujirizisha pasipo na shaka kua mtoto wa mgogoro ni kweli katoka tumboni mwa huyo mama kwanza, usije kuta DNA ikasoma wote watatu hakuna mwenye vinasaba na huyo mtoto wa mgogoro!!
 
Balaa
 
Kama kuna vitu unafanana nae huna haja ya kuhangaika moyoni. Kama mimi mtoto wangu huwa lazima achukue vitu kama vitatu kwangu. Kuna macho. ,kuna mwendo,kutembea. Kuna nyayo na kichwa. Hivyo huwa wanacopy 100%..

Na Wewe kama umesema kuna vitu unafanana nae. Kama una uhakika na hivyo unavyofanana nae,usiipoteze muda na gharama za DNA,wewe mchukue tu bila kujiuliza. Na ukiamua kumchukua usiwaze nyuma. Endelea kumhudumia. Bahati nzuri vyeti vyake vina jina lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…