Mtoto wangu ana baba wawili

Kama mtoto sio wa jamaa hapo mwanamke hawezi kukubali. Kuchukua hicho kipimo kwa Tanzania lazima mwanamke pia akubali hata ivyo nasikia majibu huwa yanachakachuliwa wanasema wanalinda masilahi ya mtoto
 
Sheria za ndoa na malezi(child support) ni lazima zipitiwe upya kuendana na mazingira ya sasa, haya mambo wanawake yameyafanya kuwa biashara ambayo matokeo yake yanamuumiza mwanaume kiuchumi/kisaikolojia.
 
Jina na vyeti visikupumbaze, kuna kidume Arusha kilikua kinalipa ada na jina toka hospital linasoma lake,lakini mtoto juzi alipofariki kwenye ile ajali ya wanafunzi Arusha, kidume ndiyo kinasanuliwa mtoto siyo wako na amepelekwa kuzikwa kwao, kidume kimebaki na mshangao hadi sasa! Wanawake ni viumbe hatari sana tuishi nao kwa akili tu!!
 
Kweli kabisa nimeona hiyo habari nikapunguza zaidi huduma
 
Kwenye betting inaitwa"double chance".....huyo manzi hafai kikubwa angalia features za mtoto akifanana na wewe hata sikio beba mtoto mkuu,huenda ndo huyohuyo!
 
Binafsi, ningekaa kikao kifupi na huyo Mama Mtu.. ningeongea nae maneno machache tu Mazito..........

ningeendelea kumlea huyo mtoto... ILA... ILA... ktk hicho kikao ambacho nimeongea na huyo Mwanamke kuna maneno ambayo atakuwa kayaskia na kuyaelewa.. endapo mambo yataenda ndivyo sivyo basi Tuseme Inshaallah tutaonana huko akhera
 


DNA yenyewe labda ukapime nje ya bongo.

Bongo hawaeleweki.

Wakijua wewe ni bwana wa nje huishi na bibie watasema mtoto si wako hata kama wako.
They tend kumpa yule mwenye kuishi na bibie (wa ndoa).

Ni jambo baya sana .

Na huwa najiuliza Kwani haya wa mkemia hawana code of ethics?

Kwanini kusiwe na msisitizo wa kusimama kwenye ukweli?

Kwanini damu ya mtu umpe mtu mwingine?
 
Madhara ya kutomba malaya......dhambi za uzinzi zinawatesa vijana wengi....pole sana Mkuu.
 
Pindi wanaume wawili mnapogundua mna mahusiano na mwanamke mmoja yule atakaebaki na huyo mwanamke ndo mwanaume dhaifu zaidi
Siku hizi waname wawili nao wanaishe na mke mmoja.

Check hawa mbuzi walipanga kabisa wakutane wajadili😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…