Mtoto wangu ana baba wawili

Jua kundi la Damu la huyo mwanamke, jua kundi la damu la huyo jamaa mnaeshirikiana mtoto, jua kundi lako la damu yako pia, kisha mpelekee daktari yeyote atakwambia uwezekano wa mtoto kuwa ni wa nani, achana na DNA kwanza.
 
Acha huruma za kijinga na kuwa Mwanaume.

Mpaka hapo unataka ushauri gani, unafikiri mbegu zako ndiyo zinafanya kazi kuliko za huyo aliyekaa naye muda wote. MWAMBIE HUTAFANYA CHOCHOTE MPAKA ATAKAPOPIMA DNA, HALAFU KAUSHA. NA SAHAU
 
Pindi wanaume wawili mnapogundua mna mahusiano na mwanamke mmoja yule atakaebaki na huyo mwanamke ndo mwanaume dhaifu zaidi
Vipi kuhusu Sir Nature kwenye kisa demu?
 
Hakuna mtoto mwenye baba wawili mzee...stuka
Siku hizi kuna mtoto ana baba hadi sita, usicheze na kiumbe mwanamke, ndiyo maana Rita wanataka jina la baba halisi tu,na kama humjuwi itaandikwa kwenye cheti cha kuzaliwa Baba hajulikani kwa sasa mpaka hapa atakapojitokeza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…