Mtoto wangu anadoa usoni chini ya jicho

Mtoto wangu anadoa usoni chini ya jicho

hunter2018

Member
Joined
Aug 12, 2018
Posts
9
Reaction score
7
Mtoto wngu anadoa usoni chini yajicho"na ameshatumia dawa kadhaa zatyub navidoge lakini doa bado alijaisha wala kupungua'nalinazidi kukua kidogo kidogo' kwahiyo kwa anayejua dawa yakulimaliza doa hili kwenye uso wamwanangu naomba msaada wake.
IMG_20180902_073055.jpg
tapatalk_1535863760286.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi creams ulizotumia ni cotrimazole 1%. Cream yenye 2 % cotrimazole inasaidia lakini daktari atakueleza uipake kwa muda gani.
 
Back
Top Bottom