hunter2018
Member
- Aug 12, 2018
- 9
- 7
Mtoto wngu anadoa usoni chini yajicho"na ameshatumia dawa kadhaa zatyub navidoge lakini doa bado alijaisha wala kupungua'nalinazidi kukua kidogo kidogo' kwahiyo kwa anayejua dawa yakulimaliza doa hili kwenye uso wamwanangu naomba msaada wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app