Mtoto si ndo kwanza ananyonya? Sasa ntakubemendaje bila kuichakachua hoteli ya mtoto?Njoo unibemende kwanza wewe nione kama una.utamu
Usiwaze ye anacheka kwa ku Vibrate tuuu.Mtoto wangu ana miezi Tisa now alhamdulilah yupo vema
Ila kuna kitu kinanipa hofu,hajui kuongea ila anapenda kuita baba,tata eeh tena kwa sauti kubwa kabisa.
Shida ipo kwenye kucheka akicheka hatoi sauti kabisa inatoka kidoogo hata umtekenye vipi.
Nifanyeje mwanangu acheke kwa sauti hadi majirani wasikie jamani?
Duuuh aisee ulinyonyeshwa?Usiwaze ye anacheka kwa ku Vibrate tuuu.
Sasa mie niliyezaliwa nameno?? Siungehofika kwelikweli.
Chill out ,ila mwanao kibonge sana!!
Ana kg 11 tuUsiwaze ye anacheka kwa ku Vibrate tuuu.
Sasa mie niliyezaliwa nameno?? Siungehofika kwelikweli.
Chill out ,ila mwanao kibonge sana!!
Hizo ni dalili za dicteter huko baadaeMtoto wangu ana miezi Tisa now alhamdulilah yupo vema
Ila kuna kitu kinanipa hofu,hajui kuongea ila anapenda kuita baba,tata eeh tena kwa sauti kubwa kabisa.
Shida ipo kwenye kucheka akicheka hatoi sauti kabisa inatoka kidoogo hata umtekenye vipi.
Nifanyeje mwanangu acheke kwa sauti hadi majirani wasikie jamani?
Kama wa kuime sawa lakini kama wa kike huko kazi ipoWa kiume?
Hongera sana mungu amekupa mama!!!!!big upMtoto wangu ana miezi Tisa now alhamdulilah yupo vema
Ila kuna kitu kinanipa hofu,hajui kuongea ila anapenda kuita baba,tata eeh tena kwa sauti kubwa kabisa.
Shida ipo kwenye kucheka akicheka hatoi sauti kabisa inatoka kidoogo hata umtekenye vipi.
Nifanyeje mwanangu acheke kwa sauti hadi majirani wasikie jamani?
Asante ray.ulete pampasHongera sana mungu amekupa mama!!!!!big up
Najua ni first born wako
Ungenialika tu ulipojifungua siku ya kutoka ningekuja kukutuza mihela shooAsante ray.ulete pampas
Sina mbavuNenda kwenye Setting kisha Restore Factory au Kwenye Audio Profile bonyeza General ataanza kucheka kwa sauti.
Nimeona Mkuu kilio kikubwaa ila sauti hakuna daahUmeona huyu, halii kwa sauti. Labda ni jambo la kawaida baadae litakaa sawa.View attachment 828497
Nimecheka mwenyewe kama kichaa au upo anga nyingineMtoto wangu ana miezi Tisa now alhamdulilah yupo vema
Ila kuna kitu kinanipa hofu,hajui kuongea ila anapenda kuita baba,tata eeh tena kwa sauti kubwa kabisa.
Shida ipo kwenye kucheka akicheka hatoi sauti kabisa inatoka kidoogo hata umtekenye vipi.
Nifanyeje mwanangu acheke kwa sauti hadi majirani wasikie jamani?
Ni wakike au kiumeMtoto wangu ana miezi Tisa now alhamdulilah yupo vema
Ila kuna kitu kinanipa hofu,hajui kuongea ila anapenda kuita baba,tata eeh tena kwa sauti kubwa kabisa.
Shida ipo kwenye kucheka akicheka hatoi sauti kabisa inatoka kidoogo hata umtekenye vipi.
Nifanyeje mwanangu acheke kwa sauti hadi majirani wasikie jamani?
This is JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda kwenye Setting kisha Restore Factory au Kwenye Audio Profile bonyeza General ataanza kucheka kwa sauti.