Mtoto wangu hacheki kwa sauti

Mtoto wangu hacheki kwa sauti

Mtoto wangu ana miezi Tisa now alhamdulilah yupo vema
Ila kuna kitu kinanipa hofu,hajui kuongea ila anapenda kuita baba,tata eeh tena kwa sauti kubwa kabisa.
Shida ipo kwenye kucheka akicheka hatoi sauti kabisa inatoka kidoogo hata umtekenye vipi.
Nifanyeje mwanangu acheke kwa sauti hadi majirani wasikie jamani?
Usiwaze ye anacheka kwa ku Vibrate tuuu.

Sasa mie niliyezaliwa nameno?? Siungehofika kwelikweli.

Chill out ,ila mwanao kibonge sana!!
 
Kama umeshaanza kumtekenya bado mdogo hapo unaandaa mdangaji
 
Mtoto wangu ana miezi Tisa now alhamdulilah yupo vema
Ila kuna kitu kinanipa hofu,hajui kuongea ila anapenda kuita baba,tata eeh tena kwa sauti kubwa kabisa.
Shida ipo kwenye kucheka akicheka hatoi sauti kabisa inatoka kidoogo hata umtekenye vipi.
Nifanyeje mwanangu acheke kwa sauti hadi majirani wasikie jamani?
Hizo ni dalili za dicteter huko baadae
 
Mtoto wangu ana miezi Tisa now alhamdulilah yupo vema
Ila kuna kitu kinanipa hofu,hajui kuongea ila anapenda kuita baba,tata eeh tena kwa sauti kubwa kabisa.
Shida ipo kwenye kucheka akicheka hatoi sauti kabisa inatoka kidoogo hata umtekenye vipi.
Nifanyeje mwanangu acheke kwa sauti hadi majirani wasikie jamani?
Hongera sana mungu amekupa mama!!!!!big up
Najua ni first born wako
 
Jaribu kumuwekea MIC akiwa anacheka uskilizie tena kama bado haitoki
 
Mtoto wangu ana miezi Tisa now alhamdulilah yupo vema
Ila kuna kitu kinanipa hofu,hajui kuongea ila anapenda kuita baba,tata eeh tena kwa sauti kubwa kabisa.
Shida ipo kwenye kucheka akicheka hatoi sauti kabisa inatoka kidoogo hata umtekenye vipi.
Nifanyeje mwanangu acheke kwa sauti hadi majirani wasikie jamani?
Nimecheka mwenyewe kama kichaa au upo anga nyingine
 
Mtoto wangu ana miezi Tisa now alhamdulilah yupo vema
Ila kuna kitu kinanipa hofu,hajui kuongea ila anapenda kuita baba,tata eeh tena kwa sauti kubwa kabisa.
Shida ipo kwenye kucheka akicheka hatoi sauti kabisa inatoka kidoogo hata umtekenye vipi.
Nifanyeje mwanangu acheke kwa sauti hadi majirani wasikie jamani?
Ni wakike au kiume
 
Back
Top Bottom