Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #41
Dokta anasema hana shida sema nawaza tu msosi wote unaenda wapi mamyInabidi usisitize kwa daktari wa watoto wamucheki tena.. labda anakuwa na constipation. Kama ni mzima kwa mengine ni vizuri usipate wasiwasi sana.
Pole
Ila kuna mtu kashauri jinsi ya kumnyonyesha kitu ambacho nilikuwa sifanyi.
Sent from my Infinix_X521 using JamiiForums mobile app