Mtoto wangu jamani msaada

Mtoto wangu jamani msaada

KIDUDU

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2012
Posts
2,557
Reaction score
1,927
Ndugu zanguni naombeni msaada,mke Wang kanizalia mtoto wa kiume sasa and siku 28; mtoto anasumbuliwa na tumbo mpaka anashindwa kunyonya. Analia mpaka namuonea huruma , nimempeleka kcmc wakampa dawa bado shida, naombeni msaada jamani, am
 
tafuta dawa ya mamboleo uliza watu wazima hapo wazima hapo unapoishi,ila am nat sure kama ni mamboleo,jingine ngesi pia inasaidia ni mchango huo ana harisha?? choo cha kijani??
 
nashukuru dada, haharishi okay tumbo tu, anajinyonganyonga yaani utakaonea huruma.
 
Ndugu zanguni naombeni msaada,mke Wang kanizalia mtoto wa kiume sasa and siku 28; mtoto anasumbuliwa na tumbo mpaka anashindwa kunyonya. Analia mpaka namuonea huruma , nimempeleka kcmc wakampa dawa bado shida, naombeni msaada jamani, am

Infants can sometimes fail to digest milk they suck from their mother properly as a results gas accumulates in their stomach and causes alot of discomfort!

I suggest you buy a drug called Infacol syrup, it will help him / her BUT again take him / her to the hospital for detail medical evaluation!
 
nashukuru dada, haharishi okay tumbo tu, anajinyonganyonga yaani utakaonea huruma.

ana constipation au anapata choo kawaida? mpe dawa ya kuondoa gesi tumboni.
 
Safi sana wachangajiaji hadi hapo kwa tpaul mmekuwa so much concerned!
 
Last edited by a moderator:
Infants can sometimes fail to digest milk they suck from their mother properly as a results gas accumulates interesting their stomach and causes alot of discomfort!

I suggest you buy a drug called Infacol syrup, it will help him / her BUT again take him / her to the hospital for detail medical evaluation!
thanks doc
 
dah kama haarishi mpeleke hospital asubuh

Yaan nIpo nimechanganyikiwa flan, neo waif anaelekea hospital saiv maana nimefika mkoan kikaz nataman niwe home maana namuonea huruma Pia mke wangu
 
Ndugu zanguni naombeni msaada,mke Wang kanizalia mtoto wa kiume sasa and siku 28; mtoto anasumbuliwa na tumbo mpaka anashindwa kunyonya. Analia mpaka namuonea huruma , nimempeleka kcmc wakampa dawa bado shida, naombeni msaada jamani, am
pole sana.kuna DAWA ya kienyeji inaitwa MURU inapatikana ktk maduka ya dawa za asili ucjali kanunue mpe bw.mdogo atapona
 
Ni chango hilo la mtoto na ni kwasababu bado hajazoea mlo mpya (maziwa ya mama) hivyo tumbo linamkata na kuuma

Kuna dawa za majani,mamake anatafuna afu anampa yale mate...kumkanda tumbo kwa mafuta ya nazi asilia
Tafuta mama mtu mzima atakusaidia
 
Back
Top Bottom