Mtoto wangu katu hatosoma vyuo vikuu vya tanzania

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
1,197
Reaction score
507
Vyuo vya tanzania ni full majanga,ukabila si ukabila,uonevu si uonevu.Mijitu inapewa maksi na gpa kubwa kwa kigezo cha ukabila matokeo yake ni wahadhiri bomu na mwisho wake elimu ya kishenzi.mtoto wangu hatosoma tz maana elimu imebakwa na wajinga wachache
 
Ila kweli kuna vyuo unakuta some idara zipo chini ya kabila fulani. Kulikoni?
 
Mkuu, inategemeana aisee mambo yaeza chenji usikasirike hivyo. Kwa mfano ukipeleka ulaya, amerika au australi bado kuna kaishu ka ubaguzi(nimebaguliwa mimi). Na kahela kake sio mchezo imagine kulipa m50 kwa mwaka kwa kadirio la chini!

Pole ila ndio tz yetu boss
 
nashukuru sana mkuu
 
Kulikoni tena Pilitoni..?? umefikwa na yepi tena ndugu yangu mbona umekua mkali sana..??
 
Nadhani mnachosema kinaweza kuwa kweli.
Kuna mtu humu JF anajiita ExpertBroker inawezekana na yeye ni product ya aina hizo za upendeleo, maana jamaa hajui kitu kabisa lakini anasema ana degree!!!
 
Last edited by a moderator:

Nice ideas. Ulaya gharama ndiyo hizo 50! Kinachofanyika ni KUHAMISHA raslimali za Tanzania kwenda huko Ulaya. Ni ufisadi tu.

Baada ya kulipa hizo mwishowe unapata hiyo elimu na MILA zao. Tunakuwa na imported culture. Ndiyo maana hawa vijana wetu waliosoma nje wana elimu lakini ni watumwa wa mila.

Hatima ya yote haya ni kukosa UZALENDO. Sasa hivi tupo ki matabaka. Wa nje hawaeleweki maana hapa wanapaona ni ugenini. Kwao ni huko walikosoma na wanaweza hata kusaidia uporaji maana hao wazungu ni WENZAO.
 
chagua nchi na course atakayosoma. Ukimpeleka nchi kama vile urusi asome mdicine akirudi unahitaji kumwanzisha chuo tena. Yaani amemaliza anakuwa kama kapewa introduction in medicine. Akianza kutibu mara moja ni kirusi kwa wagonjwa
 
Umeshawahi kusikia Rais wa Urusi kaenda kutibiwa nje ya nchi yake?
 
Mkuu naomba usahihishe, kusoma ama kuishi nje ya africa hakumbadilishi mwafrika kuwa mzungu. Ukiona hivyo huyo mtz mshamba na kujionesha.

Isiwe 7bu ya kugoma kupeleka mtoto nje kwa kigezo cha kuharibika, inategemea msingi ulompa na akili ya huyo mtoto. Ukipata nafasi ya hizo 50m+ kwa mwaka we peleka tu asome
 
Mkuu punguza hasira kila sehem kuna mapungufu ingawa huenda home kumezidi
 
hahahaha
 
Nadhani mnachosema kinaweza kuwa kweli.
Kuna mtu humu JF anajiita ExpertBroker inawezekana na yeye ni product ya aina hizo za upendeleo, maana jamaa hajui kitu kabisa lakini anasema ana degree!!!

utoto huu kanyonye ukalale
 
Last edited by a moderator:
Nadhani mnachosema kinaweza kuwa kweli.
Kuna mtu humu JF anajiita ExpertBroker inawezekana na yeye ni product ya aina hizo za upendeleo, maana jamaa hajui kitu kabisa lakini anasema ana degree!!!

Naona sasa busara unaziweka kando na umekaa kimipasho zaidi! Nilifikiri hoja yetu kule inaendelea, lakini inavyoonesha umeanza kuzidiwa! Ule uzi si bado upo? Tuendelee na Mjadala ZeMarcopolo mwenye degree ya vyuo vya Ughaibuni!
 
Mkuu umenena vyema. Nchi tunaipeleka pabaya. Mazoea yamejenga tabia. Serikali ijichunguze elimu inayotoa kwa raia wake ni ya aina gani!
 
Nadhani mnachosema kinaweza kuwa kweli.
Kuna mtu humu JF anajiita ExpertBroker inawezekana na yeye ni product ya aina hizo za upendeleo, maana jamaa hajui kitu kabisa lakini anasema ana degree!!!

Nimefuatilia jinsi huyu member expertbroker anavyojadili na kujenga hoja.
Nilichoona ni kwamba yeye yuko kwenye biashara, kwa maana aking´ang´ania jambo analazimish kila mtu akubali hilo. Ni kweli taaluma hana.

Inaelekea ZeMarcopolo huwajui wahaya vizuri. Huyu ana dalili za kubebwa na uhaya wake. Wakati niko chuo wenzetu wahaya walikuwa hawana stress kama sisi.

Aliyeanzisha thread anasema ukweli. Hata mimi ningependa kufikiria watoto wangu wasome nje sema ndio hivyo, kitaa bado hakijaeleweka.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…