Mtoto wangu katu hatosoma vyuo vikuu vya tanzania

Mtoto wangu katu hatosoma vyuo vikuu vya tanzania

Naona sasa busara unaziweka kando na umekaa kimipasho zaidi! Nilifikiri hoja yetu kule inaendelea, lakini inavyoonesha umeanza kuzidiwa! Ule uzi si bado upo? Tuendelee na Mjadala ZeMarcopolo mwenye degree ya vyuo vya Ughaibuni!

Alivosema jamaa ni kweli. Michango yako iko zaifu.

Nyinyi ndio mmenufaika na ukabila mpaka tunafikiria kupeleka watoto wetu Ulaya.
 
Alivosema jamaa ni kweli. Michango yako iko zaifu.

Nyinyi ndio mmenufaika na ukabila mpaka tunafikiria kupeleka watoto wetu Ulaya.

Asante mkuu, ukabila umeninufaisha vipi, funguka! Na mkiishapeleka watoto Ulaya then what follows! Bado sijapata link ya ukabila na kupeleka watoto Ulaya!
 
Alivosema jamaa ni kweli. Michango yako iko zaifu.

Nyinyi ndio mmenufaika na ukabila mpaka tunafikiria kupeleka watoto wetu Ulaya.

Mkuu,
Asiyefunzwa na wazazi wake hufunzwa na Dunia. Hiki ndicho kinachomkuta huyu ExpertBroker , hii Dunia ya ushindani mambo ya upendeleo hayana nafasi. Kupendelewa ni mbio za sakafuni, kwenye industry clients wanataka kuona results sio vyeti. Ndio maana watu kama hawa wakija kwenye mijadala wanaambulia aibu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,Asiyefunzwa na wazazi wake hufunzwa na Dunia. Hiki ndicho kinachomkuta huyu ExpertBroker , hii Dunia ya ushindani mambo ya upendeleo hayana nafasi. Kupendelewa ni mbio za sakafuni, kwenye industry clients wanataka kuona results sio vyeti. Ndio maana watu kama hawa wakija kwenye mijadala wanaambulia aibu.[/QUOTE]

Hii ndio mijadala? Hunijui na wala sikujui, unachofanya ni kutafuta pa kutokea baada ya kuelemewa na mjadala kule kweny suala la apartments.

Unahangaika kama panya aliyebanwa na mlango, mara nimesoma vyuo uchwara, mara nina degree feki, mara nimependelewa! Hoja zako zimekaa ki wivu wivu zaidi!

Wewe ndio mtu makini bingwa wa hoja kama unavyotaka ieleweke hapa jamvini? Kwa mipasho nitakukubali, but mie kwa upande wangu nitakustahi, nisingependa kuingia uko maana sijakaa kimipasho zaidi!

Unachokionesha hapa ni tabia ya..................Kubwa zima, aibu!
 
Mkuu,Asiyefunzwa na wazazi wake hufunzwa na Dunia. Hiki ndicho kinachomkuta huyu ExpertBroker , hii Dunia ya ushindani mambo ya upendeleo hayana nafasi. Kupendelewa ni mbio za sakafuni, kwenye industry clients wanataka kuona results sio vyeti. Ndio maana watu kama hawa wakija kwenye mijadala wanaambulia aibu.

Hii ndio mijadala? Hunijui na wala sikujui, unachofanya ni kutafuta pa kutokea baada ya kuelemewa na mjadala kule kweny suala la apartments.

Unahangaika kama panya aliyebanwa na mlango, mara nimesoma vyuo uchwara, mara nina degree feki, mara nimependelewa! Hoja zako zimekaa ki wivu wivu zaidi!

Wewe ndio mtu makini bingwa wa hoja kama unavyotaka ieleweke hapa jamvini? Kwa mipasho nitakukubali, but mie kwa upande wangu nitakustahi, nisingependa kuingia uko maana sijakaa kimipasho zaidi!

Unachokionesha hapa ni tabia ya..................Kubwa zima, aibu!

Hawa ndio wasomi tunaowategemea!!!

Kweli nakubaliana na thread kuwa kuna haja ya kutafuta vyuo nje ya Tanzania. Kama vyuo vyetu ndio products zake hizi, mmh!!!
 
Nice ideas. Ulaya gharama ndiyo hizo 50! Kinachofanyika ni KUHAMISHA raslimali za Tanzania kwenda huko Ulaya. Ni ufisadi tu.

Baada ya kulipa hizo mwishowe unapata hiyo elimu na MILA zao. Tunakuwa na imported culture. Ndiyo maana hawa vijana wetu waliosoma nje wana elimu lakini ni watumwa wa mila.

Hatima ya yote haya ni kukosa UZALENDO. Sasa hivi tupo ki matabaka. Wa nje hawaeleweki maana hapa wanapaona ni ugenini. Kwao ni huko walikosoma na wanaweza hata kusaidia uporaji maana hao wazungu ni WENZAO.

ni kichekesho kweli! Unajua ni kitu gani kinachopoteza uzalendo tz? Nyerere alisoma wapi? Matabaka ktk nchi ndio chanzo kikuu cha kupoteza uzalendo.Leo fikiria elimu nchini inatolewaje,kuna baadhi ya wanafunzi wanakosa mikopo huku wakiwa na sifa zote,matokeo yake ni kusoma kwa shida sana,unategemea nini baadaye
 
nyerere alisoma makerere nadhani ndio kilikuwa chuo pekee afrika mashariki miaka iyo,pia alisoma uingereza master yake, hakukuwa na chuo kikuu tanzania miaka ya 40s na 50s, sasa sijui tatizo lipo wapi?
 
mfano mzuri mwigulu alipewa gpa kubwa inayomzidi uwezo yaani haiendani na uwezo wake kiakili
Vyuo vya tanzania ni full
majanga,ukabila si ukabila,uonevu si uonevu.Mijitu inapewa maksi na gpa
kubwa kwa kigezo cha ukabila matokeo yake ni wahadhiri bomu na mwisho
wake elimu ya kishenzi.mtoto wangu hatosoma tz maana elimu imebakwa na
wajinga wachache
 
Kama umepanga kumsomesha ili akiwa na degree aajiriwe basi huna haja ya kumpeleka nje na kupoteza m.50+. Ni bora aipate hapa home kwa m.8 asipoajiwa bado utakuwa na zaidi ya m.42 zinamtosha sana kujiajiri yeye binafsi. nami niko tayari kumsaidia awe mjasiriamali mwenye mafanikio makubwa.
 
Vyuo vya tanzania ni full majanga,ukabila si ukabila,uonevu si uonevu.Mijitu inapewa maksi na gpa kubwa kwa kigezo cha ukabila matokeo yake ni wahadhiri bomu na mwisho wake elimu ya kishenzi.mtoto wangu hatosoma tz maana elimu imebakwa na wajinga wachache

Kwenye red, nina mashaka una wrong info. kuhusiana na vyuo vya TZ. Pengine aliyekuambia maneno haya alikuwa amedisco chuo so ktk kujitetea akukueleza hivyo na wewe ukabeba kama lilivyo. Ktk hili hata na mm nilishawahi kusikia mtu aliyedisco UDSM akisema upuuzi wa namna hii.

Pili, ktk hilo swala la ukabila unataka kugeneralize kuwa wote wenye GPA nzuri wamepata kwa turufu ya ukabila? Nina wasiwasi na wewe ni muumini wa imani hii ya 'ukabila'.

Tatu,Elimu ya kishenzi inafananaje? wewe umesoma wapi?

Nne, mtoto wako hatasoma tz, Je, kama ni kilaza unafikiri atafit kwenye vyuo vya hapa tz? Isije ikawa ni maneno ya mkosaji. Ninavyojua wazazi wengi wanakimbiza watoto wao nje si kwa lengo la kutafuta elimu bora bali ni kukwepa aibu maana watoto wao wamefeli na hawana marks za kuingia vyuo vya hapa tz.

Mwisho, unataka kusema nini kwa mtu aliyeongoza mtihani wa taifa tangu primary mpaka chuo kikuu? huko kote alipendelewa kutokana na kabila lake? Sir,''Try to think big ''

c.c
Pilitoni ,ZeMarcopolo(upo sawa mkuu)
 
Vyuo vya tanzania ni full majanga,ukabila si ukabila,uonevu si uonevu.Mijitu inapewa maksi na gpa kubwa kwa kigezo cha ukabila matokeo yake ni wahadhiri bomu na mwisho wake elimu ya kishenzi.mtoto wangu hatosoma tz maana elimu imebakwa na wajinga wachache
Sasa huko utakapo mpeleka mwanao kwenye elimu bora inabidi hiyo elimu bora ije imsaidie kuwaza nje ya boksi sio unampeleka huko halafu anarudi kuanza kutafuta kazi na sisi tuliosoma huku bongo mwambie yeye awe akina Bill Gates, Steve Job, na etc..oracle na vitu kama hivyo akifanya hivyo kweli atakua ameonesha ubora wa elimu ya huko...aliko ipata..!!!
 
Back
Top Bottom