Mkuu,Asiyefunzwa na wazazi wake hufunzwa na Dunia. Hiki ndicho kinachomkuta huyu
ExpertBroker , hii Dunia ya ushindani mambo ya upendeleo hayana nafasi. Kupendelewa ni mbio za sakafuni, kwenye industry clients wanataka kuona results sio vyeti.
Ndio maana watu kama hawa wakija kwenye mijadala wanaambulia aibu.[/QUOTE]
Hii ndio mijadala? Hunijui na wala sikujui, unachofanya ni kutafuta pa kutokea baada ya kuelemewa na mjadala kule kweny suala la apartments.
Unahangaika kama panya aliyebanwa na mlango, mara nimesoma vyuo uchwara, mara nina degree feki, mara nimependelewa! Hoja zako zimekaa ki wivu wivu zaidi!
Wewe ndio mtu makini bingwa wa hoja kama unavyotaka ieleweke hapa jamvini? Kwa mipasho nitakukubali, but mie kwa upande wangu nitakustahi, nisingependa kuingia uko maana sijakaa kimipasho zaidi!
Unachokionesha hapa ni tabia ya..................Kubwa zima, aibu!