Mtoto wangu wa kike atapata tabu sana

Hii inaonesha unawachezea sana binti wa watu, wa kwako unapanga kumbania. Sasa kashika sikio au kugombea simu kuna ubaya zaidi ya kuvuliwa nguo?
 
Kwahiyo utakuwa unamfata hadi hapo dukani uliponunua kitu leo?
 
Binti yako atakuwa anapenda pesa kuliko Hawa wanawake unaowaazishia Uzi, ataliwa Sana, mnoo yaaani
 
Kama yeye anafurahia wewe kinakuuma nini?
 
Nyie ndiyo huwa watoto wenu wanagongewa ndani ya majumba yenu, tena mkiwepo.

Mtoto mpe malezi ya kimaadili, kuwa naye karibu, msikilize,mshauri na pia mfundishe dini awe na hofu ya Mungu, mengine muachie sasa yeye afanye maamuzi hapo utakuwa ume play part yako kama mzazi.
 
Tufanye wewe ndie baba wa huyo binti, sasa ndio kaja shule wewe uko miono kwenu huko utajua?
Wee mwombe Mungu mwanao aongozwe na roho mtakatifu bhana usiseme hivyo .
Ndio nyie watoto wanakujaga kuwa changudoa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blah blah
 
We hujawahi kufanya kwa watoto wa wenzio? Aaahaaa kama ulilifanya kwa watoto wa wenzio jua na wa kwako lazima atafanyiwa.. na ndio maana wanaume huwa wanaumia sana watoto wao wa kike wanapoingia kwenye ndoa coz anajua anachomfanyia mkewe na mwanae atafanyiwa vivyohivyooo!! Pambana kijana
 
(Ingawa namim nilichafua sanaaa enz zangu )[/QUOTE]

Like father, like daughter. Jiandae, tena jipange kweli!!! what goes around comes around.
 
kwa hiyo utakuwa unakwenda naye kwenye mihangaiko?
 
Utakufa bure kwa stress bora ujifanye huoni kuliko kujua uhalisia wa yanayotokea kwa mwanao

Ukitaka prove hili fuatilia wote ulowahi kuwala
...mpaka unawala uone style ulozitumia kuwapata.(imajini sasa na mwanao anapata wa kumpitisha hizo njia)

Weeee kwa kweli hapa ni kufumba macho na kujifanya mengine huyaoni tu
 
Na wanasema wanaume malaya huzaa mtoto wa kwanza wa kike.
Jiandae tu kisaikolojia, muosha huoshwa.
 
Ndio maana nafurahia sana kupata watoto midume mwanzo mwisho. Haiumi sana aisee.
Japo wapo mabinti wa kaka zangu, ila haigusi na kuuma kama yule wa kumzaa.
 
Ndio maana nafurahia sana kupata watoto midume mwanzo mwisho. Haiumi sana aisee.
Japo wapo mabinti wa kaka zangu, ila haigusi na kuuma kama yule wa kumzaa.
Hata wa kiume sali sana awe kidume kweli kweli...jaman[emoji2960][emoji2960]mengine hayastahimiliki ukiyajua
 
Hivi mkuu?

Ni taabu gani anazopata mtoto wa kike?

Sana sana taabu tunapata wanaume..

Hata bara barani ukichunguza kwa makini Mbwa wanaogongwa na magari ni Mbwa dume na sio Mbwa jibe..

Maana yake ni kwamba Mbwa dume kafia mihangaikoni...

Mtoto wa kike ni mtelezo tu..ktk maisha.

Kuanzia chuoni kupata maks za juu..

Kupata kazi nzr..
Nk..

Muhurumie sana mwanao wa kiume kuliko wa kike..
 
Hakuna haja ya kumnyima uhuru wewe unatakiwa kumpa wosia na kumuelekeza katika njia iliyo sahihi, kazi ni kwake aamue kusuka au kunyoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…