Mtoto wangu wa kike atapata tabu sana

Mtoto wangu wa kike atapata tabu sana

Yaan

Heb ngoja kwanza.

Niseme kwamba mimi bado nakula ujana.. sina hata mtoto wa kusingiziwa.. natarajia nifanye maamuzi ya kuwa na mtoto kuanzia mwakani labda...

Haijalishi wa kiume au wa kike.

Ila sasa, kwa niliyoyashuhudia leo wakati wa mchana nilitoka mara moja nikaelekea mahala fulani, duka fulani kutafuta kitu fulani.

Sasa nipo mule ndani natafuta huku na kule nikawakuta teenagers wa kike na kiume yaani inaonekana ndo damu inachemka.

Itakuwa lazima mwaka wa kwanza ama ndio vinataka ingia chuo..yaani vinabebishana hadi kero.

Tule twa kiume tuna gu panki ka jogoo. achachacha

Mara washikane mikono mara wanyanganyane simu ndani ya duka humo.. mara wa kike amshike sikio wa kiume

Kimoyo moyo nikasema hivi we mtoto wa kike, baba yako anajua unayoyafanya huku?

Walah Mungu akijaalia ..mtoto wangu wa kike ..ntaua mtu ...sitaki ujinga..yaani mim ntakua baba mnoko...yaan staki upu.mbafu kabisaa. Yaan sina la kusema

Nilichefukwa sana

Uzi tayar
(Ingawa namim nilichafua sanaaa enz zangu )
Ona kama hiii ndg....utafanyeje sasa.....ukifuatilia mwanao kakamatiliwa si utakufa bure kwa presha[emoji850][emoji850]View attachment 1635251View attachment 1635253View attachment 1635252
Screenshot_20201126-155724_FMWhatsApp.jpg
 
Wazazj shukuru sana ukiona binti yako anakuwa na uhusiano na kijana wa rika lao,acha kumpanikisha kinyume chake zungumza nae namna nzuri ya kuhusiana bila madhara
 
Hata wa kiume sali sana awe kidume kweli kweli...jaman[emoji2960][emoji2960]mengine hayastahimiliki ukiyajua
Wazazj shukuru sana ukiona binti yako anakuwa na uhusiano na kijana wa rika lao,acha kumpanikisha kinyume chake zungumza nae namna nzuri ya kuhusiana bila madhara
Unaweza mbana sana mwishowe akose na wa kumstua aanze iangaisha familia nzma wa kumwoa anakosa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Yaan

Heb ngoja kwanza.

Niseme kwamba mimi bado nakula ujana.. sina hata mtoto wa kusingiziwa.. natarajia nifanye maamuzi ya kuwa na mtoto kuanzia mwakani labda...

Haijalishi wa kiume au wa kike.

Ila sasa, kwa niliyoyashuhudia leo wakati wa mchana nilitoka mara moja nikaelekea mahala fulani, duka fulani kutafuta kitu fulani.

Sasa nipo mule ndani natafuta huku na kule nikawakuta teenagers wa kike na kiume yaani inaonekana ndo damu inachemka.

Itakuwa lazima mwaka wa kwanza ama ndio vinataka ingia chuo..yaani vinabebishana hadi kero.

Tule twa kiume tuna gu panki ka jogoo. achachacha

Mara washikane mikono mara wanyanganyane simu ndani ya duka humo.. mara wa kike amshike sikio wa kiume

Kimoyo moyo nikasema hivi we mtoto wa kike, baba yako anajua unayoyafanya huku?

Walah Mungu akijaalia ..mtoto wangu wa kike ..ntaua mtu ...sitaki ujinga..yaani mim ntakua baba mnoko...yaan staki upu.mbafu kabisaa. Yaan sina la kusema

Nilichefukwa sana

Uzi tayar
(Ingawa namim nilichafua sanaaa enz zangu )
Kama hutaki aguswe tembea naye wewe.
 
tulia bulaza mchezo huu hautaki hasira...hawanaga madhara zaidi ya hayo unayoyaona...ukiona mtoto wako hana hao teens wenzie na mambo yake safi kaue mtu.
 
Back
Top Bottom