Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,431
- 5,336
Poleni kwa majukumu wakuu naombeni ushauri.
Mwanangu ametimiza miezi minne tangua azaliwe ila kinachonishangaza tangu tumnyoe zile nywele alizozalowa nazo za uchanga hajaota nywele mpaka leo.
Je, hii ni hali ya kawaida au nifanyeje ili aote nywele.
Watoto wengine wa umri wake na wa chini yake wameota nywele vuzuri tu.
Ahsanteni karibu kwa ushauri.