Mtoto wangu wa miezi minne hajaota nywele nifanyeje?

Poleni kwa majukumu wakuu naombeni ushauri.

Mwanangu ametimiza miezi minne tangua azaliwe ila kinachonishangaza tangu tumnyoe zile nywele alizozalowa nazo za uchanga hajaota nywele mpaka leo.

Je, hii ni hali ya kawaida au nifanyeje ili aote nywele.

Watoto wengine wa umri wake na wa chini yake wameota nywele vuzuri tu.

Ahsanteni karibu kwa ushauri.

Zitaota usiwe na haraka
 
Madhara ya kuzagamua mama mjamzito matokeo ndio hayo
 
Ondoa wasiwasi. Ni kawaida kabisa.

Kama haoneshi dalili zingine zenye kutia wasiwasi basi kuwa na amani.

Zitaota tu.
 
Sawa hata za kunyoa hamna ni kipara
Ukuaji una mambo mengi wala usihofu zitaota taratibu.

Usisahau pia kuna ishu ya Genetics.

Kamanda langu lilichelewa kuota nywele baada ya kumnyoa zile za kuzaliwa. Kwa sasa zinaota tu fasta zikiwa na asili ya nywele zangu kuthibitisha Genetics

Sijajua nywele zako zikoje ili nihitimishe ishu ya Genetics.
 
Punguzeni au muache mapigo. Miezi chini ya minne haishauriwi kabisa. Mkiendelea hata kutembea itakuwa shida, meno ndiyo kabisaaa hayataota
Una ushahidi au unaweza kutetea kauli yako?

Kama ni hivyo mwanangu asingetembea kabisa.
 
Inaonyesha huyo atakuja kuwa na nywele nyingi sana..wakwangu mpaka anaingia baby classes alikuwa hana nywele ila sasa hivi ni kama shombeshombe vile so usijari ni suala la muda.
 
Ukuaji una mambo mengi wala usihofu zitaota taratibu.

Usisahau pia kuna ishu ya Genetics.

Kamanda langu lilichelewa kuota nywele baada ya kumnyoa zile za kuzaliwa. Kwa sasa zinaota tu fasta zikiwa na asili ya nywele zangu kuthibitisha Genetics

Sijajua nywele zako zikoje ili nihitimishe ishu ya Genetics.
Nina nywele za kiafrica nyingi na nyeusi
 
Inaonyesha huyo atakuja kuwa na nywele nyingi sana..wakwangu mpaka anaingia baby classes alikuwa hana nywele ila sasa hivi ni kama shombeshombe vile so usijari ni suala la muda.
Ahsante mkuu ngoja tuone maana mimi na mama yake wote nywele zetu sio za kusua sua
 
Poleni kwa majukumu wakuu naombeni ushauri.

Mwanangu ametimiza miezi minne tangua azaliwe ila kinachonishangaza tangu tumnyoe zile nywele alizozalowa nazo za uchanga hajaota nywele mpaka leo.

Je, hii ni hali ya kawaida au nifanyeje ili aote nywele.

Watoto wengine wa umri wake na wa chini yake wameota nywele vuzuri tu.

Ahsanteni karibu kwa ushauri.
Kalogwa
 
Back
Top Bottom