Ndo yule Mwanetu aliyekuja na baraka za kulamba asali?Poleni kwa majukumu wakuu naombeni ushauri.
Mwanangu ametimiza miezi minne tangua azaliwe ila kinachonishangaza tangu .
Hiyo sina uzoefu nayo ngoja madaktari wajeKichwa kizima hana nywele
Punguzeni au muache mapigo. Miezi chini ya minne haishauriwi kabisa. Mkiendelea hata kutembea itakuwa shida, meno ndiyo kabisaaa hayataotaPoleni kwa majukumu wakuu naombeni ushauri.
Mwanangu ametimiza miezi minne tangua azaliwe ila kinachonishangaza tangu tumnyoe zile nywele alizozalowa nazo za uchanga hajaota nywele mpaka leo.
Je, hii ni hali ya kawaida au nifanyeje ili aote nywele.
Watoto wengine wa umri wake na wa chini yake wameota nywele vuzuri tu.
Ahsanteni karibu kwa ushauri.
Lazima vinyweleo vipo mkuuSawa hata za kunyoa hamna ni kipara
Upuuzi huuPunguzeni au muache mapigo. Miezi chini ya minne haishauriwi kabisa. Mkiendelea hata kutembea itakuwa shida, meno ndiyo kabisaaa hayataota
Sawa mkuu nashukuruVuta subira zitaota tu, miezi minne bado mdogo mie wangu alikuwa hivyo hivyo nilivyomnyoa za utoto hazikuota mpaka akafikisha miezi kumi wakati huo pacha wake zimeota na zimekuwa ila yeye wapi. Mama yangu akaniambia watoto wanatofautiana hata kama ni mapacha sasa hizi ana nywele kama sio yule. Subira mkuu!