Poleni kwa majukumu wakuu naombeni ushauri.
Mwanangu ametimiza miezi minne tangua azaliwe ila kinachonishangaza tangu tumnyoe zile nywele alizozalowa nazo za uchanga hajaota nywele mpaka leo.
Je, hii ni hali ya kawaida au nifanyeje ili aote nywele.
Watoto wengine wa umri wake na wa chini yake wameota nywele vuzuri tu.
Ahsanteni karibu kwa ushauri.
Ngoja mpaka watoto walale ndiyo nikuambie maana, mkuuMkuu sijakuelewa
Kamaanisha mkiendelea kunyanduana wewe na mkeo mtoto anaweza asiote meno...sasa si ujinga huo!Sijamuelewa kamaanisha nini?
Ukuaji una mambo mengi wala usihofu zitaota taratibu.Sawa hata za kunyoa hamna ni kipara
Una ushahidi au unaweza kutetea kauli yako?Punguzeni au muache mapigo. Miezi chini ya minne haishauriwi kabisa. Mkiendelea hata kutembea itakuwa shida, meno ndiyo kabisaaa hayataota
Nina nywele za kiafrica nyingi na nyeusiUkuaji una mambo mengi wala usihofu zitaota taratibu.
Usisahau pia kuna ishu ya Genetics.
Kamanda langu lilichelewa kuota nywele baada ya kumnyoa zile za kuzaliwa. Kwa sasa zinaota tu fasta zikiwa na asili ya nywele zangu kuthibitisha Genetics
Sijajua nywele zako zikoje ili nihitimishe ishu ya Genetics.
Ahsante mkuu ngoja tuone maana mimi na mama yake wote nywele zetu sio za kusua suaInaonyesha huyo atakuja kuwa na nywele nyingi sana..wakwangu mpaka anaingia baby classes alikuwa hana nywele ila sasa hivi ni kama shombeshombe vile so usijari ni suala la muda.
fuatilia hicho kitu utaokota jambo hapoNadhani kwa kizungu "chlorophyll" au hujamanisha hilo
KalogwaPoleni kwa majukumu wakuu naombeni ushauri.
Mwanangu ametimiza miezi minne tangua azaliwe ila kinachonishangaza tangu tumnyoe zile nywele alizozalowa nazo za uchanga hajaota nywele mpaka leo.
Je, hii ni hali ya kawaida au nifanyeje ili aote nywele.
Watoto wengine wa umri wake na wa chini yake wameota nywele vuzuri tu.
Ahsanteni karibu kwa ushauri.