ipyax JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,247 Reaction score 6,578 Jan 24, 2017 #21 Una haraka, miezi sita unataka akae kweli? Subiria mpaka miezi 8 na kuendelea pia mnunulie kiti cha kujifunzia kukaa.
Una haraka, miezi sita unataka akae kweli? Subiria mpaka miezi 8 na kuendelea pia mnunulie kiti cha kujifunzia kukaa.
Anneth David Member Joined Jan 8, 2017 Posts 21 Reaction score 8 Jan 25, 2017 Thread starter #22 Anneth David said: Hospital waliwaambiaje ? Vipi mwili una nguvu? Anaweza kushika kitu mkononi? Kukaa akiwa ameweka mikono chini anaweza? Click to expand... HR mbona hunijibu jamani
Anneth David said: Hospital waliwaambiaje ? Vipi mwili una nguvu? Anaweza kushika kitu mkononi? Kukaa akiwa ameweka mikono chini anaweza? Click to expand... HR mbona hunijibu jamani