Mtoto wangu wa miezi sita hawezi kukaa

Mtoto wangu wa miezi sita hawezi kukaa

Una haraka, miezi sita unataka akae kweli? Subiria mpaka miezi 8 na kuendelea pia mnunulie kiti cha kujifunzia kukaa.
 
Back
Top Bottom