Wakuu siku za hivi karibuni mtoto wetu wa miaka 4 amekuwa akitusisitiza sana kuhusu kupata mdogo wake. Anatuambia kwa sauti ya kusononeka, "Nataka mdogo wangu... Nahitaji mdogo wangu kwa sababu hakuna mtu hapa nyumbani wa kucheza naye!"
Kiuhalisia kama familia hatujapanga kuongeza mtoto wa pili kwani kuna muda tuliojipangia kuongeza mtoto, lakini kijana wetu hataki kabisa kuelewa. Tukijaribu kumweleza kuwa mama bado hajawa tayari, yeye anasema kwa kujiamini, "Tunaweza! Kwani mama si ana maziwa tele!" Akatupa na masharti kabisa kuwa anataka mdogo wake awe wa saizi yake na mwenye sura kama yake, na wala asiwe mtoto mchanga!
Hawa watoto wa siku hizi hawa acha tu! yaani anafikiria kupata mdogo wake ni rahisi kama kwenda dukani na kuchagua kile unachotaka!
Hizi akili za kiafrika sjui zikoje aise
Naona hapa hakuna MTU, yaani hamna tofauti na huyu!Wakuu siku za hivi karibuni mtoto wetu wa miaka 4 amekuwa akitusisitiza sana kuhusu kupata mdogo wake. Anatuambia kwa sauti ya kusononeka, "Nataka mdogo wangu... Nahitaji mdogo wangu kwa sababu hakuna mtu hapa nyumbani wa kucheza naye!"
Kiuhalisia kama familia hatujapanga kuongeza mtoto wa pili kwani kuna muda tuliojipangia kuongeza mtoto, lakini kijana wetu hataki kabisa kuelewa. Tukijaribu kumweleza kuwa mama bado hajawa tayari, yeye anasema kwa kujiamini, "Tunaweza! Kwani mama si ana maziwa tele!" Akatupa na masharti kabisa kuwa anataka mdogo wake awe wa saizi yake na mwenye sura kama yake, na wala asiwe mtoto mchanga!
Hawa watoto wa siku hizi hawa acha tu! yaani anafikiria kupata mdogo wake ni rahisi kama kwenda dukani na kuchagua kile unachotaka!
mh! inafikirisha sanaHawa ni kidato cha nne waliomaliza wakawa wanachana na madaftari na kutukana shule.
PumbavuWakuu siku za hivi karibuni mtoto wetu wa miaka 4 amekuwa akitusisitiza sana kuhusu kupata mdogo wake. Anatuambia kwa sauti ya kusononeka, "Nataka mdogo wangu... Nahitaji mdogo wangu kwa sababu hakuna mtu hapa nyumbani wa kucheza naye!"
Kiuhalisia kama familia hatujapanga kuongeza mtoto wa pili kwani kuna muda tuliojipangia kuongeza mtoto, lakini kijana wetu hataki kabisa kuelewa. Tukijaribu kumweleza kuwa mama bado hajawa tayari, yeye anasema kwa kujiamini, "Tunaweza! Kwani mama si ana maziwa tele!" Akatupa na masharti kabisa kuwa anataka mdogo wake awe wa saizi yake na mwenye sura kama yake, na wala asiwe mtoto mchanga!
Hawa watoto wa siku hizi hawa acha tu! yaani anafikiria kupata mdogo wake ni rahisi kama kwenda dukani na kuchagua kile unachotaka!
matokeo yake ndio hayaHawa ni kidato cha nne waliomaliza wakawa wanachana na madaftari na kutukana shule.
KabisaHapo unaomba msaada watu wakusaidie hilo tatizo? Changamoto kubwa miaka hii ni
1. Watoto wadogo kuoana
2. Wanawake kuoana
Mwanaume asingekuja andika upupu kama huu.