Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Hahaaaaa!! Taabu sana! Hivi utaanzaje kujiweka kwenye majukwaa Kama hivi? Wezi hawa wanatafuta mazuzu wa kuwatapeli.Hahaaa. Kweli kabisa kaka. Itakuwa anataka achore yale Mafisi ya jf.
Ila kutokana na ile issue ya Husna the boss lady walio wengi walijifunza hivyo hapa aandike pata potea sababu ni wachache watakaomzukia huko kwa Waziri Mkuu.