Hahaaaaa!! Taabu sana! Hivi utaanzaje kujiweka kwenye majukwaa Kama hivi? Wezi hawa wanatafuta mazuzu wa kuwatapeli.Hahaaa. Kweli kabisa kaka. Itakuwa anataka achore yale Mafisi ya jf.
Ila kutokana na ile issue ya Husna the boss lady walio wengi walijifunza hivyo hapa aandike pata potea sababu ni wachache watakaomzukia huko kwa Waziri Mkuu.
Im gonna change my mind.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sikujibu
LolIm gonna change my mind.
Woiiiiiiiiii..... hahaabiashara matangazo kuna nanihii zenu
badoo
hi5
me
nk sahizi ungeshakuwa kitandani kwa mtu unaliwa hilo taqor maana kule biashara ni chapchap.............
wahi sasa...................
Umeona kaka. Huo ndio ukweli halisi wengi nia zao ni ovu.Hahaaaaa!! Taabu sana! Hivi utaanzaje kujiweka kwenye majukwaa Kama hivi? Wezi hawa wanatafuta mazuzu wa kuwatapeli.
Vyuma sister!! Dunia uwanja wa fujo!!Umeona kaka. Huo ndio ukweli halisi wengi nia zao ni ovu.
Na wanasubiri tu mtu ajichanganye ndio hapo unajulikana uapande wake wa pili wa shilingi.
Hahaaa. Hakika Kaka.Vyuma sister!! Dunia uwanja wa fujo!!
Umebadilika sanaaaShape ya nini mie nina ubongo uko active shoga angu. Nimeuliza tu kama huyo ni wewe
Achaneni na mimi nyie watu. Si najitoaga tu ufahamu humu.Umebadilika sanaaa
Mwenye zeze yake sawa, mwenye gitaa ruksa, mwenye ngoma yake apige!! At the end kila MTU atafunga hesabu zake!!Hahaaa. Hakika Kaka.
Tuiache tu ili kila mwenye ngoma yake acheze.
Hahaha i know.Achaneni na mimi nyie watu. Si najitoaga tu ufahamu humu.
Ewaaaaaaa.Mwenye zeze yake sawa, mwenye gitaa ruksa, mwenye ngoma yake apige!! At the end kila MTU atafunga hesabu zake!!
Dance according to the tune!
Njoo tuu maanaHahaha i know.
Ngoja nije wsp kwanza tuongee kidogo
mbona kinyonge?Njoo tuu maana
Nina stress hapa balaambona kinyonge?
Hujaenda tena??Nina stress hapa balaa
Ni mwanaume na nimejiridhisha na hilo baada ya kuona uzi huuHalafu utakuta ni dume! ...jiandae kwa msafara huko PM[emoji3]