[emoji2] [emoji2] [emoji2] akuu!Napokea fresh kabisa [emoji23]
Umbo la mama sura ya baba. Ila bado sura yake si mbaya bwanaUna shape nzuri hila hiyo sura kama ya mzee wako.
Natongozwa ila siringii shepu na wala sioni sifa kutongozwa...Kwani we utongozwagi
Lengo lake kuwapata wajinga wajinga mbona ushaandika tayari [emoji23][emoji23]Hyo picha umedownload kwenye google sio ya kwako,picha ya camera ya simu file name huanza na IMG kisha mwaka,mwezi na siku iliyopigwa kisha namba ya picha na mwisho humaliziwa na neno jpg,mfano: IMG_20180531_4546.jpg, sasa hyo uliyoweka hapo imeanza na d54edb0.... hata mimi nkiamua kuisachi online naikuta.
Eniwei utawapata wajingawajinga wenye uchu,ingawa sijajua lengo lako hasa ni lipi.
yaan ata reply zake zina sound kabisa kama mwanaume
Kama hamjuani au?Mimi nikiplan kuonana na mtu akaomba nauli ya kufika eneo la tukio nampiga block straight forward.
Au swaga za nitumie hela ya kusuka nije nimependeza!
Kwako sifa ni nini?Natongozwa ila siringii shepu na wala sioni sifa kutongozwa...
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Umenikoooooshaaa haya ndio majibu yetu ambao hatukukimbia umande[emoji122][emoji122][emoji122]
Sanaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108]Kwanini sasa? Mbona hiyo shape kawaida tu jamani. Kanizidi hapo hana tumbo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hamjuani au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Una shape nzuri hila hiyo sura kama ya mzee wako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nakusalimia [emoji23]Shape ya nini mie nina ubongo uko active shoga angu. Nimeuliza tu kama huyo ni wewe
Mwanamke kutongozwa ni kama pie. So sio kitu kikuubwa cha kuringiaNatongozwa ila siringii shepu na wala sioni sifa kutongozwa...
Halafu maswali yako [emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo huyo wewe???
Unaanzaje kuomba hela hivi hamjuani?Mimi nikiplan kuonana na mtu akaomba nauli ya kufika eneo la tukio nampiga block straight forward.
Au swaga za nitumie hela ya kusuka nije nimependeza!
Siku ile ningekuomba nauli kumbe usije. [emoji23][emoji23][emoji23]Kama hatujuani ndiyo, especially first meeting.
Habari yako mama.Nakusalimia [emoji23]