Mtotomtamuu nawasalimu wana JF

Mtotomtamuu nawasalimu wana JF

Nimenunua nyanya gengeni nimeshtuka baada ya kuhisi mojawapo sio ya kawaida
H
Nimenunua nyanya gengeni nimeshtuka baada ya kuhisi mojawapo sio ya kawaida
IMG_1527756600.843964.jpg
Mtoto mtamu hiyo kucha yako inatisha.
 
Siku ile ningekuomba nauli kumbe usije. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] yaani miye nilivyo muoga kuomba hela[emoji23] [emoji23] na ukiona nakuomba ndani ya short time ujue sikupendi nataka usepe!

Labda unipe mwenyewe
 
Sometimes ni logical, labda unataka kucheck kama hauko unaenda kukutana na Kapuku.
Sasa kapuku hana nafasi ya kupendwa[emoji2] [emoji2] [emoji2] au kutamani!!!
Hapana kwa kweli!

Nshawahi kwenda kukutana na mtu mkononi nauli pungufu nkaona aibu kumuambia asije niona mshenzi nimefika kituoni nkaomba nitumiwe tigo pesa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] baas!
 
When it comes to business, materials take priority.

Ndo maana hata sisi unakuta tunaazima ndinga, pamba siku ya kukutana.
 
Back
Top Bottom