shin gun wook
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 995
- 1,514
hahaha labda atakua mchicha mwiba uyuNimenunua nyanya gengeni nimeshtuka baada ya kuhisi mojawapo sio ya kawaida
H
Nimenunua nyanya gengeni nimeshtuka baada ya kuhisi mojawapo sio ya kawaidaView attachment 790553Mtoto mtamu hiyo kucha yako inatisha.
Sina ndio. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ww mzigua ww utakuwa huna shape hakyanani kabisaaaa[emoji3][emoji3]
Sema we huombwi bwana unatoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki hata mimi siwezi. Kwanza mtu ninaemuomba hela namwamini hawezi kuacha kunipa. Simuombi mtu ilimradi mtu. Tena mtu sijamzoea ndo kabsaaaaa.Sasa kapuku hana nafasi ya kupendwa[emoji2] [emoji2] [emoji2] au kutamani!!!
Hapana kwa kweli!
Nshawahi kwenda kukutana na mtu mkononi nauli pungufu nkaona aibu kumuambia asije niona mshenzi nimefika kituoni nkaomba nitumiwe tigo pesa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] baas!
[emoji23] [emoji23] wachekaa ndo zako nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Another otienoooooo
HahaaaaaaHajiamini tu. Aseme yake watu waje na mpaka namba ya nyumba ya anapokaa aloweka picha yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo kofia la nywele lisikuzuzue, akilivua utakimbia.
Kuliko mimi???Naipenda JF wallah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]Achaaaaa
Eeeh bwana[emoji23] [emoji23] wachekaa ndo zako nini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unaomba kusudiSiku hizi ndo dawa.
Baadae utasikia kuna pasi, kitanda bila godoro na taa ya chemli vyote kwa laki tatu tuu niko vingunguti njoo pm haraka nina shidaSidhani kama haya yana tofauti na Yale ya Husna the Boss Lady.
Hapo sawa mtu anakua yuko kimaslahi zaidi!!ana test zaliWhen it comes to business, materials take priority.
Ndo maana hata sisi unakuta tunaazima ndinga, pamba siku ya kukutana.
Ila tumetofautina sana ujue!Haki hata mimi siwezi. Kwanza mtu ninaemuomba hela namwamini hawezi kuacha kunipa. Simuombi mtu ilimradi mtu. Tena mtu sijamzoea ndo kabsaaaaa.
Umegusa kiwanja changu hapo... Hi5,biashara matangazo kuna nanihii zenu
badoo
hi5
me
nk sahizi ungeshakuwa kitandani kwa mtu unaliwa hilo taqor maana kule biashara ni chapchap.............
wahi sasa...................
Hapo sawa mtu anakua yuko kimaslahi zaidi!!ana test zali