Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Dec 1, 2024 #121 dini zimewafanya watu weusi kuwa wajinga wa duniani kutwa kucha ni kusoma na kukariri njozi zilizoandikwa miaka maelfu iliyopita
dini zimewafanya watu weusi kuwa wajinga wa duniani kutwa kucha ni kusoma na kukariri njozi zilizoandikwa miaka maelfu iliyopita
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Dec 1, 2024 #122 Kuku akifa anaenda wapi?!
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Dec 1, 2024 #123 Tuseme chochote chenye uhai kikifa kinaenda wapi?