Mtu akifika Dar ni sehemu gani ya kwanza utamshauri atembelee?

hujafika uwanja wa Fisi Manzese usiku
yaani ukiachwa hapo Paaa hutoki utafikiri Gamboshi
Nilikuja dar Mala ya kwanza mwaka 2004 basi nilikuwa naishi kagera magomen ila ndugu zangu wapo manzese kule bas muhuni Ile Ana ni peleka huko manzese aka nipitisha huko ila hakuwa ame nambia.,kama na kupeleka wap muda WA sa moja kwenda sa mbili hivi Mala paap Nika baki nashangaa jamaa Ana nambia kaa kimya aisee ad tuna pita hapo nalishangaa Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na jinsia yake na mahusiano gani baina yetu.
 
mkuu hujaona ile video inaonyesha kwenye ukuta wameziba watu wa nje wasione wanyama kama ilivyokuwa zamani nasikia.
mmoja ya walinzi wa pale ni schoolmate wangu. Nitampanga then nitatimba mle ndani kuona urithi wa taifa
 
Nafikaje uwanja wa fisi kutoka darajani au tip top
upo upande wa kaskazini mwa barabara ya Morogoro km unatoka mjini mkono wa kulia , kuna kasoko mjinga au wanaposhusha mahindi na mashine za kusaga, kuna club za pombe, wewe zururz vichochoro vyake ndipo utawaona warembo wapo milangoni wametega usiulize toa sign utaona utakavyovutwa ndani, mipira wanayo lkn na wewe usisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…