matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #41
huwa kuna nini hapo, mbona panatajwa sana mkuluCorner bar ya sinza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwa kuna nini hapo, mbona panatajwa sana mkuluCorner bar ya sinza
Nilikuja dar Mala ya kwanza mwaka 2004 basi nilikuwa naishi kagera magomen ila ndugu zangu wapo manzese kule bas muhuni Ile Ana ni peleka huko manzese aka nipitisha huko ila hakuwa ame nambia.,kama na kupeleka wap muda WA sa moja kwenda sa mbili hivi Mala paap Nika baki nashangaa jamaa Ana nambia kaa kimya aisee ad tuna pita hapo nalishangaa Sanahujafika uwanja wa Fisi Manzese usiku
yaani ukiachwa hapo Paaa hutoki utafikiri Gamboshi
Hahaha ni mmoja ya sehemu maarufu.huwa kuna nini hapo, mbona panatajwa sana mkulu
umaarufu wa nini mkuu. tushtuaneHahaha ni mmoja ya sehemu maarufu.
Ni vizuri ukashuhudie mwenyewe live
mmoja ya walinzi wa pale ni schoolmate wangu. Nitampanga then nitatimba mle ndani kuona urithi wa taifamkuu hujaona ile video inaonyesha kwenye ukuta wameziba watu wa nje wasione wanyama kama ilivyokuwa zamani nasikia.
Kwa wahayaa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Temeke sudan kwenye ule uchochoro ulopambwa kwa taa nyekundu na kijan huku wenye vyumba wamekaa zao nje kukuvutia mtembeaji
Kumbe lile chimbo unalifahamu nduguTemeke sudan kwenye ule uchochoro ulopambwa kwa taa nyekundu na kijan huku wenye vyumba wamekaa zao nje kukuvutia mtembeaji
upo upande wa kaskazini mwa barabara ya Morogoro km unatoka mjini mkono wa kulia , kuna kasoko mjinga au wanaposhusha mahindi na mashine za kusaga, kuna club za pombe, wewe zururz vichochoro vyake ndipo utawaona warembo wapo milangoni wametega usiulize toa sign utaona utakavyovutwa ndani, mipira wanayo lkn na wewe usisahauNafikaje uwanja wa fisi kutoka darajani au tip top