Mtu akifika Dar ni sehemu gani ya kwanza utamshauri atembelee?

Kuna mshkaji alivyo fika dar tu kabla hajapoa wahuni wakamwambia atafute buku 20 nauli ya kwenda na kurudi zanzibar,mshkaji akatoa hiyo pesa,

Wahuni wakamvusha pantoni kwenda kigamboni wakashindanae huko jioni wakamrudisha,
Akaja kujua aliingizwa mjini baada ya miezi kupita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha ha ha ha ha uuwi watu wabaya
 
Mara ya kwanza kufika nilipelekwa Magogoni 'Striti', kisha baharini kushangaa baharini, kisha kadaraja ka Manzese.

Njoo ushauri watu machimbo ya kushangaa hasa sisi wa Miji kasoro Dar.
Kwanza mtembelee mwenyeji wako mkuu
 
Kuna mshkaji alivyo fika dar tu kabla hajapoa wahuni wakamwambia atafute buku 20 nauli ya kwenda na kurudi zanzibar,mshkaji akatoa hiyo pesa,

Wahuni wakamvusha pantoni kwenda kigamboni wakashindanae huko jioni wakamrudisha,
Akaja kujua aliingizwa mjini baada ya miezi kupita

Sent using Jamii Forums mobile app
hao mkuu, nawaweka ndani fasta.
hivi hakuna jinsi mtu akaenda zanzibar kwa bus
 
Mkuu mimi nilianziaga pale, unachungulia wale swala wakubwa na tausi. Siku hizi makirikiri kila kona na ukijchanganya unakula konzi na makofi ya kufa nyumbu.
Yeah, miaka ya nyuma kidogo awamu ya mh Mkapa, ulikuwa ukipita geti la nyuma anapoingilia Waziri mkuu, wanyama walikuwa wanaonekana kirahisi tu.
Lakini siku hizi wameziba mabati, hata hao wanyama walioletwa sijui kama wanaonekana kirahisi?
 
Nilipofika Dar tu nilionana na warembo wangu kila mmoja kwa wakati wake!
Hadi wapangaji wenzake na mwenyeji wangu wakanishangaa kuona ninavyobadili wanawake! Wakajua huyu jamaa alikuwa anasoma Seminari, so alikuwa na ugwadu!

Baada ya hapo nilimwambia nipeleke wanapojiuza wanawake wengi! Yaani mwenyeji wangu alicheka saana. Akanambia yaani hujaona sehemu nyingine japokuwa na kugegeda karibia kila siku? Nikatimiza azma yangu.

Baadae tukaenda Airport, na maeneo mengine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara ya kwanza kufika nilipelekwa Magogoni 'Striti', kisha baharini kushangaa baharini, kisha kadaraja ka Manzese.

Njoo ushauri watu machimbo ya kushangaa hasa sisi wa Miji kasoro Dar.
Ikulu ya magogoni hususani pale kwenye wale wanyama
 
Back
Top Bottom