Mtu akihukumiwa,faini anayotoa huenda wapi?

Mtu akihukumiwa,faini anayotoa huenda wapi?

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
2,711
Reaction score
1,017
Wiki iliyopita mke wangu alihukumiwa kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya Tsh 300,000/= kwa kosa la kutukana.
Tulilipa faini,wiki hii ameambiwa alipe fidia ya Tsh 81,000/= kwa mtu aliyefungua mashitaka kuwa alisababisha hasara katika biashara ya mlalamikaji.
SWALI AMBALO LIMENIUMIZA KICHWA BILA KUPATA MAJIBU NI; Hiyo faini ya Tsh 300,000/= imeenda wapi/kwa nani/katika mfuko upi?!
 
Faini inakatiwa risiti ya mahakama inakuwa ni fedha inayoingia kwenye pato la serikali na fidia analipwa mtu aliyefingua mashtaka na kushinda
 
Back
Top Bottom