Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Mtu akikupenda swala la kuonana naye na kuwasiliana hamtabembelezani kabisa
ila rafiki ukimpenda mtu asiyekupenda mnaweza kukaa mtaa moja au sehemu moja, swala la kuonana mtihani kila siku pruu pruuu wala hana hamasa ya kuonana na wewe na mawasiliano umuanze
Akikupenda swala la kuonana na kuwasiliana huwa la kawaida sana. Hutenga muda wake ndani ya ratiba zake kwa ajili yako akupendaye
Ndugu yangu najua hii imekugusa iwe siri yako usimwambie mtu mwingine baki nayo hii siri itakusaidia mahala fulani uone ni sahihi kuwa mpweke kiasi hicho huku una mahusiano 😀
SINGLE BUT TAKEN yaani una mahusiano ila mpweke mpaka unatia huruma hata kuonana au kuwasiliana shida. Mnapigaje hatua mbele kama hamuonani au hamuwasiliani vizuri naye
Rafiki yangu mwema utakuwa unateswa na UGALATIA wala si mapenzi. Siku ukiachana na UGALATIA mapenzi hayawezi kukutesa hivyo.