Mtu akikupokea kwake, jiongeze hama mapema

Mtu akikupokea kwake, jiongeze hama mapema

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
7,755
Reaction score
11,737
Habari wana-JF,

Kama Watanzania na Waafrika tuna tamaduni za kukaribisha sehemu za ugenini hasa mtu mlietoka sehemu moja. Sasa kuna binadamu wengine akikaribishwa hujisahau kama vile kafika jumla Wala haangaiki kutafuta nyumba wala kiwanja.

Sio ustaarabu huo!
 
Habari wanaJf, kama Watanzania na Waafrika tuna tamaduni za kukaribisha sehemu za ugenini Hasa mtu mlietoka sehemu moja. Sasa kuna binadamu wengine akikaribishwa hujisahau kama vile kafika jumla Wala haangaiki kutafuta nyumba Wala kiwanja.

Sio ustaarabu huo!
Wacha kulalamika mkuu, wewe hama tu umwachie nyumba.....huo ndiyo ustaarab.
 
Kamwe usikaribishe mtu kuishi kwako huko ni kununua uhasama.
Kama tulivyofanya kwa Waarab na wazungu, wakatuletea dini zao na kutuua huku wakienda kutuuza utumwani. Tuliwakaribisha wenyewe kwa ukarimu wetu.
 
Back
Top Bottom