Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Utakuwa uhasama na kusemwa una Roho mbaya!Mtimue
Hama weweUtakuwa uhasama na kusemwa una Roho mbaya!
Ni kujitoa Ufahamu!Ni kweli....afu Kwanini ujibweteke Kwa mwenzio na maisha umeyaona yalivyo sasa?🙄
KabisaNi kujitoa Ufahamu!
Hama wewe
Akiishi miaka buku,yeye atalipa lini fadhila?!!Tafuta hela umasikini unakusumbua Mtu anabidi akija kwako aishi miaka buku.
Unakuta ndo anaanza kazi,Hana chochote.Kamwe usikaribishe mtu kuishi kwako huko ni kununua uhasama.
Wacha kulalamika mkuu, wewe hama tu umwachie nyumba.....huo ndiyo ustaarab.Habari wanaJf, kama Watanzania na Waafrika tuna tamaduni za kukaribisha sehemu za ugenini Hasa mtu mlietoka sehemu moja. Sasa kuna binadamu wengine akikaribishwa hujisahau kama vile kafika jumla Wala haangaiki kutafuta nyumba Wala kiwanja.
Sio ustaarabu huo!
Kama tulivyofanya kwa Waarab na wazungu, wakatuletea dini zao na kutuua huku wakienda kutuuza utumwani. Tuliwakaribisha wenyewe kwa ukarimu wetu.Kamwe usikaribishe mtu kuishi kwako huko ni kununua uhasama.
Naona wewe unakaa nyumba ya kupanga, yaani uhame kwako kisa mhamiaji?Hama wewe
Nakaa NHC MpwaNaona wewe unakaa nyumba ya kupanga, yaani uhame kwako kisa mhamiaji?