Kuna wale waliobahatika kushuhudia siku za mwisho za wapendwa wao wakiwa hospitali kuna Ile aibu wanaipata dakika za mwisho wakitaka kukata roho🥺nilipata kuishuhudia
Sema nini wakuu Tuombe mwisho mwema
Binafsi hio kitu imeniathiri sana kisaikolojia sana nilipata kumpa chakula marehemu masaa machache kabla ya umauti wake (alikuwa ameshanisahau mpaka Jina langu) alikumbuka tu mimi ni mwanae Ila hakukumbuka Ata jina langu
Najua kuna Watu mna experience kuna Watu huwa wanafariki lakini ni ngumu kuwasahau matendo mfano nyerere,kanumba, Gadafi, bibi titi
na kuna Watu huwa wakifa kuwa sahau ni rais
Nikimkumbuka mpendwa mama mzazi wangu najikuta naingia kwenye dimbwi la mawazo vidonda vya tumbo vinakuja kwa kasi haswa namna alivyokuwa anaweza kusocialize na watu mbalimbali(hio kitu sijabarikiwa sio social sana )
Alikuwa kiunganishi sana cha watu nakumbuka watu wengi walioa kupitia wafanyakazi mbalimbali waliofanya kazi na mama. Watu walipata ridhiki mbalimbali msiba wake uliuzuliwa na watu zaidi ya 1000, na ni kijijini hii inaonesha ni kiasi gani alikuwa kipenzi cha watu
Mwishowe mpaka natamani kumfata aliko. 🤔Jamii forum imekuwa familia kwangu napata faraja sana mjadala mbalimbali kubadilishana mawazo
Dah Sema shukrani kwa wanajamii kwa ujumla. 💪Mpo vizui