Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
actuarial,eco n stat za udsm...baf ya muccobs
baf chukua ya mzumbe ama ardhi
baf quality ni ya muccobs and mzumbe.....ardhi hamna kitu.
muccobs nacho ni chuo kikuu au chuo
hahaaa product zake maofisini zinafanya vizuri na wanauzika...nenda angalia cpa holder first setting chuo gn wanapataga wengi kama c muccobs.
udsm ndio nzuri
Ulishasoma ya udom pamoja na udsm ukaja na critical analysis au umesikia maneno ya mashoga wenzako alafu unacomment ukiwa ...?
sawa mwamba ngoma
hahaaa mi ni product ya udsm but muccobos nawakubali.