Mtu aliechukua combination ya EGM, kozi gani nzuri kwenye ajira?

Mtu aliechukua combination ya EGM, kozi gani nzuri kwenye ajira?

Jostrick

Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
66
Reaction score
35
Jaman hiv kwa mtu aliechukua comb. ya EGM ni facult gani nzuri anaweza kuichagua ambayo ajira zake zinapatikana kwa urahisi?
 
kozi zote za arts, bizness na baadhii ya koz za sayansi kama vile building economics ya chuo cha ardhi, na kama ulisoma sayansi o level na kufaulu bam ndio inakua poa zaidi.
 
Dogo hizi hapa ndio top four

1.architecture- ardhi
2.actuarial science-Udsm pekee
3.building economics-Ardhi pekee
4.economics and statics-Udsm pekee
hzo mbili za kwanza lazima upate mkopo ya tatu utapata mkopo kama umesoma walau governmnt o level
 
acha akii za ki BRN unawaza kazi soma dogo ujiajiri (umaskini na utajiri upo kichwani mwako:cool2🙂
 
Dogo utaweza kweli kusoma faculty ww au unaota? Tofautisha course na faculty, lastly piga msuli mdogo wangu ukifaulu fresh mambo mengine mema yatafata.
 
actuarial,eco n stat za udsm...baf ya muccobs
 
Hivi inawezekana kwa mtu kusomea China baada ya kumaliza kidato cha nne(CSE) na akafikia mpaka ngazi ya Masters Degree?
 
Back
Top Bottom