33 yrsUna umri gani? Swali la kijinga lkn natamani kuanzia hapa.
Hiyo ya kusaka teuzi ni nzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ajira yako inakulipa kiasi gani kwa mwezi? Una mkopo wowote? Una familia ya mke na/au mtoto/watoto?33 yrs
Well said...Japo Mimi ni kama wewe ila nakuomba utulize akili kwanza, soma mazingira then anzisha kitu ambacho unakipenda moyoni mwako. Usiangalie faida kubwa sana na utajiri wa haraka haraka, kusanya nguvu, na kubuni kitu ambacho kitakusaidia baadae.
Na kama unaekeza hakikisha unatumia robo au nusu ya hela uliyonayo maana biashara ni risk.
Ok,ushauri wangu angalia kitaa/mtaani kwako au mitaa mingine jirani kuna changamoto gani ya bidhaa au huduma then uitatue,au kama kuna mdau ameshafanya hilo wazo/biashara angalia number ya customers,kama wapo wengi pambana muwagawane,au uwachukue wote..hapa ushindani wa biashara utakuwepo so factors zngne km bei,ubora wa bidhaa,customer caring vitakuhusu...Mkuu wakati mwingine ili mkono uende kinywani yakubidi ufanye hata jambo usilopenda
Shida ni kwamba biashara ikifa nachukua muda mrefu sana kupata mtaji mwingine huku nikiugulia makato ya benkiHauna uvumilivu kwene kutafuta, biashara uloianzisha nafikiri ulikuwa ushajiekea malengo ya faida tu! Kaza buti kama unaamini katika Biashara utatoka tu cha muhimu uvumilivu na kusoma mazingira ya Biashara na aina ya biashara unayofungua
Intelligent nilimaanisha mwenye uelewa wa mambo na dunia inaendaje sio lazima awe na elimu kubwaSina sifa ulizotaja Ila jaribu kwenda VETA. Mtu intelligent kwako ni masters kwenda juu au vipi!