Mtu aliyefanikiwa hawezi akakubania hata siku moja, Amini kwamba

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Mfano Mimi namiliki Biashara sita.

Ninaingiza faida hadi mil 1 Kwa siku .

Nina Assets nyingi .

Sasa iweje nikubanie wewe kijana unayejitafuta ambaye hata ukipata Kazi utaishia kulipwa mil 1 au 2 sawa sawa na faida yangu Kwa siku.

So vijana mnaojitafuta kuweni karibu na watu waliofanikiwa .
 
🤣Asante mkuu! Mimi ni mmoja wale wanajf ambae sio taita, sijawah kwenda nje, sijuani na viongozi wakubwa, Sina gari, Sina nyumba
 
🤣Asante mkuu! Mimi ni mmoja wale wanajf ambae sio taita, sijawah kwenda nje, sijuani na viongozi wakubwa, Sina gari, Sina nyumba
Sawa Ila wewe utatoboa soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…