Mtu aliyesoma marketing course, anaweza kujiajiri vipi?

Mtu aliyesoma marketing course, anaweza kujiajiri vipi?

I just ask

Member
Joined
Nov 12, 2020
Posts
14
Reaction score
15
Hivi mtu aliye soma marketing course kwa kazi yoyote ile anaweza kujiajilije yeye kama yeye kwa kile alichojifunza chuoni au ability yake ya kufanya mambo according kwa knowledge yake.
 
Hivi mtu aliye soma marketing course kwa kazi yoyote ile anaweza kujiajilije yeye kama yeye kwa kile alichojifunza chuoni au ability yake ya kufanya mambo according kwa knowledge yake

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Watu Kama wewe ndio wanawafanya baadhi waone hasara kupeleka watoto Chuo Kikuu...Hii ndio Mbunge was Kahama alisema mnamchukua mwanangu akiwa mdogo ..mnanirudishia Ana digrii halafu mnamwambia ajiajri...waakati tayari Ana miaka 25 na hajitambui😆😆
 
Mm huwanataka kuamgalia content alio nayo akitoka chuoni nakuiamisha kwenye business ona Watu wanasoma iliwaadd creativity kwenye jambo alafu lile jambo ililiwapay kwa skills kama engineering, afya hukuna shida ila kwa bussiness Vp ndo ninacho uliza nikiexpert proffessors na lecture watusaidie
 
Nimekutana na mmoja hapa Posta kanipa kipeperushi cha JATU Inv.

So unajiajiri tu kutangaza Biashara au bidhaa mpya sokoni
 
Hivi mtu aliye soma marketing course kwa kazi yoyote ile anaweza kujiajilije yeye kama yeye kwa kile alichojifunza chuoni au ability yake ya kufanya mambo according kwa knowledge yake.
Anlima mchicha hapo kwa wazazi wake: bada ya wiki anaaza kutangaza kwenye mahoteli na nyumba za watu, akivuna anauza wote.
Ukikaribia kuisha anapanda mwengine, hela aliyopata ananunua tecno ya laki, anafungua ukurasa insta, ana-follow mahoteli ya jirani yake, anaposti mchicha na gharama ya delivery, anauza na anaajiri wenzake waliomazi UDOM.
 
Back
Top Bottom