Mtu aliyesoma Shahada ya Ualimu, anaweza kuomba nafasi ya Afisa Mtendaji?

Mtu aliyesoma Shahada ya Ualimu, anaweza kuomba nafasi ya Afisa Mtendaji?

Acha uvivu soma qualifications zilizowekwa, hakuna jibu nje ya tangazo la kazi husika.
Screenshot_20240729-221124.jpg
 
Kwan unataka utendaje tukupe huku kijijin kwetu 😃
 
Alafu hapo hapo kwenye Id yake kaandika I LOVE YOU DUCE...ujinga mtupu...Mpwayungu whr ar u?
Inasikitisha sana, juzi kuna mmoja nilikuwa namfanyia certification ya vyeti vyake akaniuliza Bro hivi na Transcript tuna upload?.

Ikabidi nimuulize tangazo lenu umelisoma?.

Vijana wengi hasa graduates ni wazinguaji sana, hawana maarifa kabisa hadi mtu unajiuliza tatizo ni nini hasa maana kama ni mfumo wa elimu basi wote tungekuwa hivyo.

Vijana hawasomi na hawataki kujifunza, utakuta mtu tangu kamaliza chuo hajawahi kabisa kusoma kitabu ili ajifunze jambo lolote.
 
Kama mtu mwenye shahada ya ualimu ni mbumbumbu kiasi hiki, vipi kuhusu wanafunzi wake?
Asilimia kubwa ya wasomi wa hapa swahililand ni WAPUMBAVU.
 
Inasikitisha sana, juzi kuna mmoja nilikuwa namfanyia certification ya vyeti vyake akaniuliza Bro hivi na Transcript tuna upload?.

Ikabidi nimuulize tangazo lenu umelisoma?.

Vijana wengi hasa graduates ni wazinguaji sana, hawana maarifa kabisa hadi mtu unajiuliza tatizo ni nini hasa maana kama ni mfumo wa elimu basi wote tungekuwa hivyo.

Vijana hawasomi na hawataki kujifunza, utakuta mtu tangu kamaliza chuo hajawahi kabisa kusoma kitabu ili ajifunze jambo lolote.
Wazee wanifanyie connection..?!..Vipi maswali ya interview ya Polisi nk..Huwa nachoka kabisa wao kila kitu ni kukalili tu kama walivyokuwa wanakalili mitihani inavyokuwa na maswali yake huko vyuoni.Sasa interview nayo wanaamini ina fomula maalumu pia; Usaili wa Mwalimu wa Hesabu mtu anajiandaa na fomula ya Kutafuta eneo la Pembe tatu?
 
Ndio inawezekana mwaka Jana waliweka qualifications ambazo watu waliosoma Bachelor of education in adult education and community development (Bed-ADEC) zilikuwa zinawaruhusu kuomba na
Wengi wapo kazini asaivi
 
Walimu wanachukiwa sana humu na ukichunguza sana wanaowachukia hao walimu wenyewe ni walimu

Kama umeichoka kazi ya ualimu usilete stress zako huku kila mtu akujue(vunga)
 
Back
Top Bottom