kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,207
- 7,364
Maji baridi sana almost frozen ndoo nzima kammwagieni mwili mzima zitamrudiMkasa wa leo hapa kwetu ni kwamba kuna kijana mtoto wa jirani (26yr) inasemekana kavuta mibange huko kijiweni maana alikuja akiwa anakokotwa kwenye baiskeli na vijana wenzake wakamshusha hapo nje kwao, wakatoa maelezo hayaeleweki hata...wakaondoka.
Wanasema walimkuta mida ya jioni kwenye uwanja wa mpira akiwa anacheki mazoezi ya mpira wa miguu. Baada mazoezi kwisha hua kuna kikundi cha vijana kinakaa nyuma ya gori wanajimulikia na tochi wanacheza kamari na wengine wanavuta bhange na kula unga. Mtu yoyote anaekatiza pale uwanjani hua wanamteka na kumnyang'anya simu n.k. Wanasema huyo kijana leo alikua na hao vijana tangu mapema tu (maana wavuta bhange wa mtaani hapa wanafahamika)
Sasa baada ya wenzao kumshusha hapa amekimbia kaenda kulala kwenye lundo la kokoto zilimwaga na lori hapa maana kuna ujenzi unaendelea. Tangu saa 12 flan hadi saiz kijana kalala pale na hataki kutoka. Anatukuna na kurusha kokoto mtu akitaka kumsogelea. Wakimuacha anavua shati na kulala kwenye kilele cha lundo la kokoto.
Binafsi nilijua bange zikimuisha atatoka aingie ndani, kumbe hadi saa 7 usk saiz naskia makelele kumbe hajatoka yupo pale pale. Wanaulizana huyu dogo wambembelezeje atoke maana inaonekana bhange imemkolea kweli kweli.
Tunguli zako mkuu zingegoma pale.Maji baridi sana almost frozen ndoo nzima kammwagieni mwili mzima zitamrudi
Au tafuteni nyoka wa kinyago mumrushie
Dah, ntamtoa mbio na ukuni mpaka nihakikishe kafika kwaoMwacheni ni starehe yake. Kesho na kesho kuitwa binti yako anakuletea huyo jamaa "daddy Huyu anataka kunioa".
Tuzae tu kwakweli
Hapana unamtuliza na maji ya baridi kwanzaTunguli zako mkuu zingegoma pale.
Wamemwagia maji, jamaa kavua nguo zote...kokoto zinarushwa balaa. Tumetawanyika bhana...hahhaHapana unamtuliza na maji ya baridi kwanza
Hayakuwa na ubaridi wa kutosha hayo... Ni yale ALMOST frozen.. yani ukimwgiwa utatetemeka kama unavibrate vileWamemwagia maji, jamaa kavua nguo zote...kokoto zinarushwa balaa. Tumetawanyika bhana...hahha
si atazidi kuwehuka nyoka tena minili data kwa muda kwakuona nguo nilizozitundika nyuma ya mlango zikigeuka watu aise nilipiga mayowe ya hatari ilibd uvunjwe mlango nisaidiwe bangi ni ovyo kabisaMaji baridi sana almost frozen ndoo nzima kammwagieni mwili mzima zitamrudi
Au tafuteni nyoka wa kinyago mumrushie
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]si atazidi kuwehuka nyoka tena minili data kwa muda kwakuona nguo nilizozitundika nyuma ya mlango zikigeuka watu aise nilipiga mayowe ya hatari ilibd uvunjwe mlango nisaidiwe bangi ni ovyo kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Chapa Kofi LA sikio zitamtoka
hahaaaa aiseeeSokoteni nyingine avute atapata stimu nyingine hyo aliyovuta imemnasia hapo kwenye kokoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maji baridi sana almost frozen ndoo nzima kammwagieni mwili mzima zitamrudi
Au tafuteni nyoka wa kinyago mumrushie