No one is born evil,karibu habari zote tunazozisoma kuhusu chaos zinazotokea kwenye dunia hii asilimia kubwa chanzo chake ni USA,believe or not, I don't care.Ili kuweza kuelewa habari kama hizi unahitaji kuwa na uelewa mpana sana wa mambo mengi zaidi ya habari moja unayoisoma,vinginevyo unaweza kuishia kwenye wrong conclusion.
1.War crime
2.Healthy crime
3.Food crime
4.Money crime
5.Energy crime
Karibu matatizo yote makubwa kwenye mambo tajwa hapo juu chanzo chake ni USA.It is very long story indeed.If you see/hear anything that doesn't make sense,just follow the MONEY and you will get an answer.