Pitia hicho kitabu nilichoandika hapo juu, kimetoka 2012. na vengine vingi wengine watakwambia
Ndugu inabidi tuongeze bidii katika kushauri vijana kupenda kusoma vitabu kwani tunajifunza mengi sana. Kitabu nikizuri bado nakisoma hata kama ni kirefu nitakimaliza tu.
Hongera sana kwa kuweka hapa jamvini.
mkuu hapa umetusimulia ile mikanda ya rambo ya kushinda majeshi ya nchi nzima akiwa peke yake tena akiwa na silaha kisu tu!!
Mkuu inaitwaje??
mkuu hapa umetusimulia ile mikanda ya rambo ya kushinda majeshi ya nchi nzima akiwa peke yake tena akiwa na silaha kisu tu!!
View attachment 241606
huyo ndo mwenyewe Imad Mughniyah
Pombe na wanawake vinaponza sana.Hapo watu wawili ambao walikua wagumu kupatikana ili wauawe lakini wameuawa katika sehemu ambayo ni ya kizembe sana.Kuna kitu cha kujifunza hapa (sio ugaidi).