Mtu ana aga alafu unamuona yupo tu nyumbani haondoki

kedekede

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
5,313
Reaction score
7,714
Za jioni ba ndugu?
Kwa nini watu wanaaga humu jf alafu unawaona online?au wanauzia watu account zao?au wanarithisha ndugu zao?
 
Nafikiri ameskia.
Ila kwanini unafuatilia nani kaaga? Nani kaaga halafu hajaondoka! Au na wewe unataka kuaga
mkuu nimeshangaa kumuona online na aliaga kwa upendo kabisa,sina nia ya kumvunjia heshima wala kumkwaza,nilidhani ni ramadhan ila mbona haijaisha?
 
mkuu nimeshangaa kumuona online na aliaga kwa upendo kabisa,sina nia ya kumvunjia heshima wala kumkwaza,nilidhani ni ramadhan ila mbona haijaisha?
Msalimie shemeji kwenye avatar. Unazifaidi saana hizo ndimi
 
Nilifikiri wanaaga mwili na wanaendelea kusikilizia wali ndondo.
 
Mpe nauli ataondoka. Wengi wanashangaza sana anatoka kwao mpaka kwako bila nauli ya kumrudisha, eti kaja kukutembelea. Tabia za kiafrica ni shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…