Mtu ana aga alafu unamuona yupo tu nyumbani haondoki

Mtu ana aga alafu unamuona yupo tu nyumbani haondoki

Superwoman2 simuoni siku izi sijui kaleft,..akuaga lakn akija tumpige faini!
 
Kuna mtu alianzisha uzi akasema wanatafuta attention.



Kuondoka jf si kazi rahisi wataishia kuja na ID nyingine tu
 
Huyo Sky Eclat ndio chanzo cha Arabian queen kuondoka japo naye atakua kesharudi kwa ID nyingine.

Kufuata mkumbo sio kitu kizuri. Kuacha kabisa kutumia JF ni almost impossible ukiacha wale wanaokuja kwa lengo la kutafuta wenza tu. Labda kama tatizo ni bando au smartphone.
 
Nilitarajia nione huu uzi, mana na mm nakumbuka kweli kuna people ziliaga na bado zipo, nikajua kweli ile n kutafta attention
 
Back
Top Bottom