Mtu ana cheo phd mpaka udaktari ila kapewa kusoma kingereza kina mshinda

Mtu ana cheo phd mpaka udaktari ila kapewa kusoma kingereza kina mshinda

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mi sina ubaya nao ila katika watu wana certificate za kila steji ni raisi ambaye kafeli kila darasa anaweza kuwa na kitabu cha elimu ambazo hata majaribio hana.

Sasa kuna waziri mkuu feki yani hata kingereza kinamshinda kusoma kwenye karatasi au basi angeongea kiswahili wakarimani wafikishe ujumbe kwa wingine.

Ndio maana dotto magari anatukana wasomi kuwa elimu ni takataka.
 
Huyo ndiyo mjinga wa mwisho. Sijui kama analo analojua fala huyo.
 
Watakuambia kujua English sio muhimu sana ,muhimu ni maarifa, hata Mimi hili nalikubaki kiasi

Lakini ukiwachunguza utagundua hawana maarifa sahihi ya kuongoza Nchi.

Chama na shule ya uongozi wajitathimini upya,sera zao zimepitwa na wakati, sera zao sio za ki science and technology+ ukweli na uwazi kwenye kukuza uchumi, mazingira, Afya, usalama,kilimo, usafirishaji
Etc....
Zina zalisha watu wabaya na wapumbavu
 
Mwandosya alihoji inakuwaje mtu akawa mbunge na waziri na bado anapata muda wa kufanya PHD, kuna watu walikuwa wakali kidogo
 
Back
Top Bottom