Huyo ndiyo mjinga wa mwisho. Sijui kama analo analojua fala huyo.Mi sina ubaya nao ila katika watu wana certificate za kila steji ni raisi ambaye kafeli kila darasa anaweza kuwa na kitabu cha elimu ambazo hata majaribio hana.
Sasa kuna waziri mkuu feki yani hata kingereza kinamshinda kusoma kwenye karatasi au basi angeongea kiswahili wakarimani wafikishe ujumbe kwa wingine.
Ndio maana dotto magari anatukana wasomi kuwa elimu ni takataka.
Nadhani ni 'mjinga wa kwanza'. Mjinga wa mwisho yuko karibu zaidi na mwerevu.Huyo ndiyo mjinga wa mwisho. Sijui kama analo analojua fala huyo.