Mtu ana malori zaidi ya 2. Je, inatakiwa awe na TFDA machine ngapi?

Morgan Fisherman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
1,819
Reaction score
2,134
Serikali sasa hiv inalazimisha watu wa maroli nao wawe wana tfd machine kwa ajili ya kukata risiti ...

Je, hii inawezekana vipi na kama mtu ana maroli zaid ya 2
Je, inatakiwa awe na TFDA machine ngapi? Na unaanzaje kumkatia mtu risit ilihali mzigo bado haujafika si ndo mwanzo wa kutiana hasara..

Serikali inajiangalia yenyewe bil kujali wananchi wapo kwenye hali huu ni uonevu wa hali ya juu
 
Reactions: bbf
Uzi wako una content nzuri ila title sasa imeharibu uzi wote
 
Sasa kuna kampuni inayo malori 72,kila lorry liwe EFD machine yake,?mashine moja inauzwa 800,000 yesu wangu.!!!!???
 
Kwani hayo malori yanabeba madawa mkuu mpaka yawe na TFDA? Siku nyingine useme EFD. Ungana na wadau waliokushauri kuhusu hilo jina haaitwi TFDA, maana hata kama ni typing error hii ya kwako imepitiliza mkuu!!
 
EFD mchine si inatakiwa ikae kwenye principal office? Sasa utakuwa unatembea nayo kwani wewe ni bus kwamba utakuwa unawakatia watu humo njiani?
 
typin error mkuu bila shaka umeelewa mada
 
EFD mchine si inatakiwa ikae kwenye principal office? Sasa utakuwa unatembea nayo kwani wewe ni bus kwamba utakuwa unawakatia watu humo njiani?
malori yanakamatwa mafinga wanadai efd machine mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…